fohow tanzania
🧼 FOHOW TEA TREE SOAP
🧼 FOHOW TEA TREE SOAP
Couldn't load pickup availability
Share

🧼 FOHOW TEA TREE SOAP
🌿✨Sabuni Asilia kwa Chunusi, Fangasi na Harufu ya Mwili
FOHOW Tea Tree Soap ni sabuni ya asili iliyotengenezwa kwa mafuta ya mti wa chai—maarufu kwa uwezo wake mkubwa wa kupambana na bakteria 🦠, fangasi 🍄, na harufu za mwilini.
Inafaa kwa ngozi ya uso na mwili mzima.
💚 Faida Kuu za Sabuni ya Tea Tree
✔️ Husafisha ngozi kwa undani, huondoa mafuta na uchafu
✔️ Hupunguza chunusi, muwasho, upele na madoa
✔️ Husaidia kutibu fangasi (ringworm, athlete’s foot, maugwai ya ngozi)
✔️ Hupunguza na kuzuia harufu ya mwili
✔️ Huacha ngozi ikiwa laini, ang’avu na yenye afya
🌸 Imeundwa Kwa Viambato Asilia
- 🌿 Tea Tree Essential Oil – antibacterial & antifungal
- 🧴 Shea Butter – hunyunyiza na kulainisha ngozi
- 🥥 Mafuta ya Nazi – hutoa povu jepesi, laini na safi
- 💧 Safflower Oil – husaidia kufungua vinyweleo na kutuliza ngozi
Sabuni moja inafaa kwa uso na mwili mzima.
🧴 Jinsi ya Kutumia (Matumizi)
Kwa Uso:
1️⃣ Lowesha uso kwa maji ya uvuguvugu
2️⃣ Paka sabuni mikononi hadi itoe povu
3️⃣ Masaji uso kwa mzunguko kwa sekunde 20–30
4️⃣ Osha vizuri kwa maji safi
5️⃣ Tumia mara 1–2 kwa siku
Kwa Mwili:
1️⃣ Tumia kama sabuni ya kawaida wakati wa kuoga
2️⃣ Zingatia sehemu zenye harufu au fangasi (kwapa, mapaja, miguu)
3️⃣ Osha na kausha vizuri
Kwa Fangasi (Athlete’s foot / Ringworm):
- Tumia mara 2 kwa siku
- Kaushia miguu vizuri baada ya kuoga
- Tumia hadi dalili zitoweke
🛍️ Agiza Sasa Kupitia Website Yetu Rasmi
👉 fohow-tanzania.myshopify.com
🚚 Huduma Kwa Wateja wa Dar es Salaam
Tunafanya delivery ya haraka 🚀
💵 Unaweza kulipia baada ya kupokea (Cash on Delivery — COD)