Description
Liuwei Cha (Pu-erh Tea)
Chai ya miujiza kwa usafishaji na uwiano wa mwili. Rejesha amani na usafi ndani ya mwili wako kiasili.
Fagio Lako la Ndani la Kila Siku
Je, unatafuta kinywaji ambacho si tu kina ladha nzuri, bali pia ni tiba kwa mwili wako? Puer Tea "Liuwei Cha" ni mchanganyiko wa kipekee wa chai ya kale ya Pu-erh (iliyokaa miaka 3+) na mitishamba adhimu ya Kichina.
Liuwei Cha si chai ya kawaida; ni "fagio la ndani." Inachanganya nguvu ya Cordyceps na chai ya Pu-erh kutoa kinywaji chenye harufu nzuri, ladha tamu kidogo, na faida kemkem za kiafya.

Faida Kuu Kwa Afya Yako
Usafishaji (Detox)
Husaidia kuondoa sumu mwilini na kung'arisha ngozi yako kiasili.
Udhibiti wa Uzito
Ni msaidizi namba moja katika kuyeyusha mafuta na kupunguza uzito ukimtumia mara kwa mara.
Afya ya Damu
Husaidia kurekebisha kiwango cha mafuta (lipids) kwenye damu na kuweka shinikizo sawa.
Mmeng'enyo
Huimarisha mfumo wa mmeng'enyo na kusaidia tumbo kufanya kazi vizuri baada ya kula.
Nguvu & Uchangamfu
Huupa mwili nguvu mpya na kuondoa uchovu wa siku nzima.
Huondoa Maji
Inafanya kazi kama diuretic asilia kusaidia mwili kuondoa maji na chumvi zisizohitajika.

🌿 Viambata Vikuu vya Asili
-
Pu-erh Tea: Chai iliyokomaa kwa miaka 3+ kwa ajili ya mmeng'enyo na detox.
-
Cordyceps: Kuvu wa kifalme kwa ajili ya kuongeza kinga, nishati na mapafu.
-
Astragalus (Loco): Huimarisha kinga ya mwili na uhai wa seli.
-
Ginseng: Huleta nguvu, stamina, na uchangamfu wa akili.
-
Chrysanthemum & Honeysuckle: Hupoza mwili, kusaidia afya ya macho, na kupambana na vimelea.
🍵 Maelekezo ya Utumiaji
Maandalizi
Tumia pakiti moja (1) mara 3-4 kwa siku.
Jinsi ya Kuloweka
Tumbukiza pakiti kwenye glasi ya maji ya moto (90°C) kwa dakika 1-3.
Kidokezo
Loweko la kwanza liwe la sekunde chache mpaka maji yabadilike rangi, kisha endelea.
Muda
Tumia kabla ya saa 12 jioni ili usikose usingizi kutokana na nishati inayozalishwa.
Anza Safari ya Afya na Liuwei Cha!
Kabla ya kuanza kutumia virutubisho vingine vizito, anza na Liuwei Cha kusafisha mfumo wako kwanza. Ni njia rahisi, tamu, na ya asili ya kujijali kila siku.












Neema M. –
Chai nzuri sana! Nilinunua kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini (detox) na kupunguza uzito, lakini imeniweka sawa mpaka kwenye mmeng’enyo wa chakula. Tumbo halivimbi tena na ninalala vizuri sana usiku. Ni original kabisa tofauti na nilizonunuaga kwingine. Nimekuwa mteja wenu wa kudumu sasa, asanteni sana Fohow Tanzania